Spika wa Bunge la Kitaifa Moses Wetangula amewasihi viongozi wa kisiasa kukumbatia siasa zilizokomaa na zenye heshima kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2027. Wetangula anasema hakuna kiongozi anayepaswa kuzuiwa kufuata matarajio yake ya kisiasa, akitaka uvumilivu na heshima kwa maoni tofauti. Amewasihi viongozi kuruhusu ushindani wa kidemokrasia bila vitisho au uadui.
MOSES WETANGULA – POLITICS