Mwanamume mwenye umri wa miaka 26 amefikishwa katika mahakama ya Mombasa akikabiliwa na mashtaka matatu yanayohusiana na ugaidi, ikiwemo madai ya uanachama katika kundi la kigaidi la ISIS. Bakari Omar anatuhumiwa kumiliki simu ya mkononi yenye rekodi za sauti, picha na video zinazodaiwa kuhusishwa na makundi yenye msimamo mkali, ikiwemo Al-Shabaab na Al-Qaeda. Pia anakabiliwa na mashtaka ya kukusanya taarifa zinazohusiana na ugaidi.
Advertisement
October 22, 2026
1 min read
Related Topics
Facebook
Loading...
Loading next article...
You've reached the end
Browse all articles
Advertisement
Suggested Articles
SPOTI 8AM 22ND OCT 26
1 min
Newsletter
Get the latest sports stories delivered straight to your inbox.
Now Playing