Viongozi wa Pwani wanasema kuwa utoaji wa hati miliki kwa wakaazi wa Mwatate, Kaunti ya Taita-Taveta, umerejesha heshima ya wanufaika kwa kuwapa umiliki rasmi wa ardhi yao. Waziri wa Ardhi, Alice Wahome, amewahimiza waliopokea hati hizo kuzitunza vyema na kuzitumia kwa njia yenye tija. Zoezi hilo lilifanyika wakati wa ziara ya Rais William Ruto huko Pwani.
ALICE WAHOME - DEEDS