Kenya inahimizwa kupita zaidi ya ufahamu wa afya ya akili na kuchukua hatua, hasa katika sehemu za kazi. Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Washauri na Saikolojia cha Kenya Rachel Kiaritha anasema unyanyapaa unawazuia wafanyakazi wengi kutafuta msaada licha ya sera za afya ya akili mahali pa kazi na programu za ustawi.


RACHEL KIARITHA-MENTAL