Watumiaji wanashauriwa kufuata maelekezo wakati wa kutibu maji ya kunywa ili kuhakikisha yanabaki salama na yenye ladha nzuri. Mkuu wa Kitengo cha Usalama wa Chakula katika Wizara ya Afya, Brenda Nakhumicha, anasema kuwa kutumia kiasi kikubwa cha kemikali za kutibu maji kunaweza kuyafanya yawe na ladha chungu, ingawa hakuna hatari kwa afya.


BRENDA NAKHUMICHA - RISK