Rais wa LaLiga, Javier Tebas, anasema kuwa mzozo wa kisheria wa Manchester City dhidi ya Ligi Kuu ya Uingereza unaonyesha kwa nini sheria sawa kwa wote ni muhimu ili kulinda uadilifu na uendelevu wa soka. Haya yanajiri huku kukiwa na taarifa zinazodai kuwa City inatarajiwa kupatikana na hatia katika mashtaka mengi yanayohusu ukiukwaji wa kanuni za kifedha katika kesi yao dhidi ya Ligi Kuu ya Uingereza. Mwaka 2020, Man City ilifanikiwa kubatilisha marufuku ya miaka miwili ya kushiriki michuano ya Ulaya iliyowekwa na UEFA, baada ya kukata rufaa katika Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo, kufuatia kupatikana na hatia ya kukiuka kanuni za 'Financial Fair Play' za shirikisho hilo.
Vipindi vya anga kavu vinashuhudiwa Nyahururu, Nyeri na Nanyuki.
Ili kupata habari zaidi tembelea tovuti ya radiojambo.