Wafanyabiashara jijini Nairobi wanatoa wito wa kupunguzwa kwa gharama ya kufanya biashara, wakihimiza mageuzi ya michakato ya leseni na udhibiti. Wakizungumza kabla ya Mkutano Mkuu wa Gavana ujao, Chama cha Kitaifa cha Biashara na Viwanda cha Kenya Tawi la Nairobi kilisema mazingira bora na yanayotabirika ya uendeshaji ni muhimu kwa biashara kubaki na ushindani, kuvutia uwekezaji na kusaidia ukuaji wa uchumi jijini.

JAMES MWAURA - REGULATIONS