Sportpesa itaendelea kuunga mkono Raga ili kuhakikisha vipaji zaidi vya chini vinafikishwa katika kiwango cha kimataifa. Kufuatia kuhitimishwa kwa msururu wa kitaifa wa Sevens Jumapili katika Cristie sevens katika RFUEA, Mkurugenzi Mtendaji wa sportpesa Ronald Karauri alihakikishia shirikisho la Raga na wadau wote kuhusu udhamini wao unaoendelea. Karauri pia alithibitisha kwamba watavuka mipaka hadi Tanzania ambapo watadhamini timu yao ya kitaifa ya raga ya sevens Twiga Kings na msururu wao wa kitaifa Tanzania Sevens.



Vipindi vya anga kavu vinashuhudiwa Meru, Isiolo na Marsabit.

Ili kupata habari zaidi tembelea tovuti ya radiojambo.