Idara ya Utabiri wa Hali ya Hewa nchini inasema mvua inatarajiwa kunyesha katika maeneo kadhaa ya nchi kati ya leo na tarehe 21 mwezi huu. Utabiri huo unahusu kaunti mbalimbali zikiwemo Nairobi, Mombasa, Kisumu, Nakuru, Kiambu na Garissa. Idara hiyo inawahimiza Wakenya kutumia taarifa za hali ya hewa kupanga shughuli zao na kulinda maisha pamoja na njia zao za kujikimu, huku nchi ikijiandaa kwa msimu wa mvua wa miezi ya Oktoba hadi Desemba.
Advertisement
September 15, 2026
1 min read
Related Topics
Facebook
Loading...
Loading next article...
You've reached the end
Browse all articles
Advertisement
Suggested Articles
SPOTI 10AM 23RD OCT
1 min
Newsletter
Get the latest sports stories delivered straight to your inbox.
Now Playing