Maendeleo lazima yaende sambamba na kuheshimu haki za binadamu na hali bora ya maisha. Mchambuzi wa siasa Oscar Obonyo anasema kwamba maendeleo ya kweli yanazidi miundombinu ya kimwili na pia yanajumuisha uwezeshaji wa kiuchumi, viwango bora vya maisha na ulinzi wa haki za kikatiba za raia.
OSCAR OBONYO-DEVELOPMENT