Angalau kaunti 12 zimeshindwa kutuma michango yao ya SHA ifikapo tarehe 9 ya kila mwezi kama inavyohitajika na sheria. Waziri wa Afya Aden Duale anasema ni kaunti tisa pekee kati ya 47 zinazofuata kikamilifu sharti la kutuma pesa, huku kaunti zilizobaki zikiwa na michango isiyolipwa. Duale anasema michango isiyolipwa, pamoja na adhabu zinazoongezeka, sasa imefikia shilingi milioni 432.
ADEN DUALE - REMITANCE