Viongozi wa kidini katika Kaunti ya Migori wamepongezwa kwa jukumu lao katika kupambana na mimba za utotoni, HIV na UKIMWI, na unyanyasaji wa kingono na kijinsia. Wadau katika sherehe ya tuzo wakiwaheshimu mabingwa katika mapambano dhidi ya maovu haya, walisema viongozi wa kidini wamesaidia kuwalinda watoto na kuwaweka wasichana na wavulana shuleni. Pia waliwasihi wazazi kuchukua jukumu kubwa la kuwalea na kuwalinda watoto wao.

SHENA MBARU - EQUIP