Mbunge wa Kiharu Ndindi Nyoro amehoji mabadiliko ya hivi karibuni ya sare za polisi, akitaka uwazi zaidi kuhusu mchakato wa ununuzi na gharama zinazohusika. Anataka serikali ieleze sababu ya kubadilisha sare hizo na kutoa maelezo kuhusu jinsi fedha za umma zilivyotumika. Kiongozi huyo wa PPK aliwaonya maafisa wa serikali dhidi ya kutumia vibaya pesa za walipa kodi, akisisitiza kwamba viongozi wanapaswa kuwatumikia Wakenya badala ya kutumia ofisi za umma kwa faida yao binafsi.

NDINDI NYORO - UNIFORM