Utayari wa kijamii wa Kenya kwa mvua inayotarajiwa ya El Niño uko katika asilimia 70, mwezi mmoja kabla ya mvua hiyo kuanza Oktoba. Meneja wa Kupunguza Hatari za Majanga katika shirika la Msalaba Mwekundu, Peter Murgor, anasema asilimia 30 iliyobaki inahusisha kuzisaidia jamii kuelewa hatari, kutumia rasilimali na kupanga uokoaji. Anaongeza kuwa shirika la Msalaba Mwekundu kwa sasa limejiandaa kwa asilimia 80.


PETER MURGOR – RAINS