Spika wa Bunge la Kitaifa Moses Wetangula ametoa wito kwa viongozi wa kisiasa kuwachana na migawanyiko ya kikabila na kuzingatia ajenda zinazoendeshwa na sera huku nchi ikijiandaa kwa Uchaguzi Mkuu wa 2027. Akizungumza wakati wa mpango wa uwezeshaji katika Kaunti ya Trans Nzoia, Wetangula aliwasihi wakaazi kukumbatia umoja wa kitaifa na kuwakataa viongozi wanaotumia maneno ya kikabila kwa ajili ya kujiendeleza kisiasa.

MOSES WETANG'ULA – ATTACKS