Wauguzi katika Kaunti ya Nyandarua wameongeza wito wa mazungumzo ya haraka na utawala wa kaunti ili kutatua mgomo iliolemaza shughuli, wa mwezi mmoja. Wawakilishi wa vyama vya wafanyakazi walisisitiza kwamba mazungumzo ya haraka ni muhimu ili kushughulikia malalamiko ya wafanyakazi ambayo hayajatatuliwa, kurejesha huduma za afya zilizolemazwa katika vituo vya umma, na kupata suluhisho la kudumu kwa wagonjwa wanaoteseka.

VOXPOP – NYANDARUA