Wazazi wa marehemu afisa mkuu wa KCB Rosemary Koech wametetea kumzika nyumbani kwao Chepseon licha ya amri ya mahakama kusimamisha mazishi hayo. Akizungumza katika ibada ya mazishi, mwenyekiti wa ukoo wa Kipkendek Keter alieleza kwamba mazishi ya usiku yalihakikisha mazishi ya heshima na ya hadhi kulingana na mila za kitamaduni za jamii hiyo.

SAMWEL KETER – BURIAL