Waathiriwa na manusura wa ghasia za serikali wamepuuza maneno ya Rais William Ruto ya kujuta wakati wa Siku ya Katiba, wakitaka hatua madhubuti kuhusu visa vya mauaji na kupotea kwa watu kwa lazima. Waathiriwa hao wakiongozwa na Bob Njagi wanatoa wito wa uchunguzi huru, fidia kamili na kushtakiwa kwa wale waliohusika.
VOX POP –VICTIMS