Nchi za Afrika Mashariki zimehimizwa kufanya kazi pamoja kwa karibu zaidi katika kuboresha masomo ua msingi. Zanzibar inasema eneo hilo lazima lizingatie kama watoto wanapata ujuzi wa msingi, badala ya kupanua tu upatikanaji wa madarasa na walimu. Wajumbe katika Mkutano wa 2 wa Elimu wa Kanda wa EAC wanatoa wito kwa nchi kushiriki utaalamu, rasilimali za kidijitali na mifumo ya ufundishaji iliyofanikiwa, huku Sudan Kusini ikihimiza ushirikiano endelevu badala ya kusubiri mkutano ujao.

VOX POP – DELEGATES