Naibu Rais Kithure Kindiki amewataka viongozi wanaotaka kumrithi Rais William Ruto kwanza waelezee rekodi yao ya maendeleo na kuonyesha kile walichokifanikisha kwa Wakenya. Akihutubia viongozi wa mashinani katika Kaunti ya Embu, Kindiki alipuuza kaulimbiu za kisiasa na majina ya utani yanayomlenga Ruto na yeye mwenyewe, akisema Wakenya wanapendezwa zaidi na viongozi wanaoleta maendeleo, wanaounda fursa na kuboresha maisha kuliko matamshi ya kisiasa.
KITHURE KINDIKI - NICKNAMES