Vijana wanatoa wito wa ulinzi mkubwa zaidi wa haki zao za kikatiba za huduma ya afya na upatikanaji wa taarifa. Akizungumza wakati wa maadhimisho ya Siku ya Katiba katika Chuo Kikuu cha Nairobi, mwanafunzi na mkurugenzi wa michezo Ethan Kinyua alisema baadhi ya haki zinazolindwa chini ya Sura ya Nne bado zinadhoofishwa na matumizi mabaya ya madaraka. Mtetezi wa haki za binadamu Wangari Ireri alisema vijana wanahitaji taarifa sahihi ili kufanya maamuzi sahihi kuhusu afya na maisha yao.

ETHAN KINYUA – PROTECT