Mwanasheria Mkuu wa zamani Githu Muigai anatoa wito wa kupunguzwa kwa idadi ya viti vya Ubunge, akisema kwamba idadi kubwa ya wabunge inachangia kuongezeka kwa kiwango cha mishahara nchini Kenya. Muigai pia anataka kupitiwe upya kwa jukumu la Seneti kikatiba, akisema Baraza hilo la Juu lilikusudiwa kutoa usimamizi wa Bunge la Kitaifa. Anasema Seneti kwa sasa haitekelezi kikamilifu jukumu hilo kama ilivyotarajiwa chini ya Katiba.

GITHU MUIGAI – SENATE