Mkutano wa Elimu wa Kanda wa EAC wa siku nne unaofanyika Nairobi unamalizika leo. Maafisa wakuu wa serikali wanaohudhuria mkutano huo wanazipa changamoto nchi za Afrika Mashariki kuhama kutoka ahadi za elimu hadi matokeo yanayopimika ambayo yanaboresha maisha ya wanafunzi. Wametoa wito wa ushiriki wa wazazi, jamii, walimu, asasi za kiraia na wadau wengine katika kuunga mkono juhudi za kuboresha elimu kote katika kanda.
VOX POP – CONFERENCE