Stan Wawrinka atashiriki katika mashindano ya US Open - licha ya awali kutopewa kadi ya wildcard kwa ajili ya Grand Slam ya mwisho ya taaluma yake. Mswizi huyo mwenye umri wa miaka 41 atastaafu mwishoni mwa mwaka lakini alionekana kunyimwa nafasi ya mwisho ya kucheza New York, ambapo alishinda mwaka wa 2016. Chama cha Tenisi cha Marekani kilikuwa kimepokea ukosoaji kwa kutompa wildcard Wawrinka, ambaye hakuingia katika raundi za kufuzu.

Vipindi vya anga kavu vinashuhudiwa Makindu, Voi  na Mariakani.

Ili kupata habari zaidi tembelea tovuti ya radiojambo.