Mapambano dhidi ya Tishio la Mara Tatu — Virusi vya HIV, mimba za utotoni na unyanyasaji wa kingono na kijinsia — lazima yashughulikiwe kwa haraka inavyostahili. Mke wa Rais Rachel Ruto amesema. Rachel alisema kwamba vitisho hivyo vitatu vinasalia kuwa hatari kubwa nchini vinavyohitaji juhudi za pamoja. Wakati wa ushauri na ushiriki wa utetezi na vijana wa Homabay, Rachel alitoa wito kwa serikali za kitaifa, za kaunti, washirika wa maendeleo na sekta binafsi kutumia rasilimali katika mapambano hayo.

RACHEL RUTO - TALK