Mbunge wa Embakasi Mashariki Babu Owino amepuuza madai ya mgawanyiko ndani ya Linda Mwananchi, akisema Vuguvugu hilo linabaki kuwa na umoja. Aliishutumu Serikali kwa kile alichokiita kufanya kila linalowezekana kugawanya upinzani akisisitiza kwamba hivi karibuni watakubaliana kuhusu mgombea mmoja wa urais atakayekabiliana na Rais William Ruto.

BABU OWINO – UMOJA