Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna amewashauri vijana wanaolenga taaluma za kisiasa kuwekeza katika mahusiano, akisema mitandao iliyojengwa baada ya muda inaweza kuwa muhimu wakati wa kampeni. Sifuna alifichua kwamba alitumia takriban Sh7 milioni wakati wa kampeni yake ya mwkaa2022, huku marafiki na wafanyakazi wenzake wa zamani wakimsaidia, ikiwa ni pamoja na kusaidia kuweka mabango ya kampeni. Alisema wengi wa wale waliounga mkono kampeni yake walikuwa watu aliofanya nao kazi wakati wa taaluma yake kama wakili.

EDWIN SIFUNA – RELATIONSHIPS