Bruno Fernandes jana aliteuliwa kuwa mchezaji bora wa mwaka wa wanaume na Chama cha Wachezaji wa Soka wa Kulipwa, wakati wa sherehe ya kila mwaka ya tuzo za PFA jijini Manchester. Nahodha huyo wa Manchester United alimshinda Declan Rice wa Arsenal na Erling Haaland wa Manchester City katika tuzo hiyo. Akipigiwa kura na wataalamu wenzake, Fernandes anashinda tuzo hiyo baada ya msimu wake mzuri zaidi baada ya kusajili pasi 21 zilizovunja rekodi katika Ligi ya Primia. Mshambuliaji wa Manchester City Khadija Shaw alitajwa kuwa mchezaji bora wa mwaka kwa wanawake kwa mara ya pili.
Jua linashuhudiwa Machakos, Kibwezi na Kitui.
Ili kupata habari zaidi tembelea tovuti ya radiojambo.