Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna amemtaka Rais William Ruto kutoa ushahidi wa madai yake kwamba Rais mstaafu Uhuru Kenyatta anafadhili harakati za Linda Mwananchi. Sifuna anasema Rais anapaswa kuthibitisha madai hayo badala ya kutoa madai bila ushahidi. Anasema harakati za upinzani zinaendeshwa na Wakenya, akipuuza mapendekezo kwamba zinafadhiliwa au kudhibitiwa na Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta.

EDWIN SIFUNA – FUNDING