Polisi watawapendekeza watu binafsi kwa IEBC ambao inawaona hawafai kugombea nafasi za uchaguzi kulingana na rekodi zao za utendaji. Hii ni kulingana na Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi Gilbert Masengeli ambaye alisema polisi watatumia mamlaka yao ya ufuatiliaji na usalama kuwatambua watu ambao tabia zao zinaweza kuwa tishio kwa uchaguzi wa amani.

GILBERT MASENGELI – BAN