Uchaguzi wa amani hujengwa kupitia ushirikishwaji wa jamii kwa vitendo na uimarishaji wa taasisi. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Uchaguzi Bila Noma, Mwenyekiti wa NCIC Kepha Omae aliwataka Wakenya wote kuhakikisha ushindani wa kisiasa unaunganIsha badala ya kugawanya taifa.
KEPHA OMAE - COLLECTIVE