Wanawake wa mashinani huko Mathare wanaonya dhidi ya matumizi ya vijana kuzua vurugu wakati wa uchaguzi, wakisema mbinu hiyo inaweza kulenga kuwatisha wapiga kura kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2027. Wakiongozwa na mtetezi wa haki za binadamu Ruth Mumbi, wanawake hao wamewataka viongozi wa kisiasa kuacha kuwatumia vijana kusababisha machafuko, wakisisitiza kwamba kila Mkenya lazima awe huru kupiga kura bila woga au vitisho.

RUTH MUMBI – YOUTH