Wakili Angela Mulwa anatarajiwa kushtakiwa kwa mauaji ya mtafiti wa afya ya akili Dkt. Victoria Mutiso pamoja na mamake na kakake. Hii ni baada ya kukamatwa tena katika Mahakama ya Milimani. Upande wa mashtaka unadai kwamba watatu hao walishirikiana na watu wengine ambao bado hawajafikishwa mahakamani.

VOX POP – CHARGE