Wadau wote lazima wajiunge na mazungumzo kuhusu udhibiti wa tumbaku na kutumia data zilizopo ili kushinikiza hatua kali zaidi, Mkurugenzi wa Huduma ya Afya ya Msingi katika Wizara ya Afya Dkt. Joel Gondi amesema. Akizungumza wakati wa mashauriano ya wadau kuhusu Mpango wa Data ya Kudhibiti Tumbaku, Dkt. Gondi alisema ushahidi ni muhimu katika kuunda mijadala ya umma, kushawishi sera na kuwawajibisha watunga maamuzi.
JOHN GONDI – STAKEHOLDERS