Uchaguzi mkuu ujao wa mwaka 2027 unapaswa kutumika kama ushuhuda wa ukomavu wa kidemokrasia wa taifa kwa kuwaruhusu raia kushindana bila woga huku wakiendelea kuwa wamoja. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya NCIC Uchaguzi Bila Noma, Kamishna Jerusah Mwaathime aliwasihi viongozi kufuata matarajio yao ya kisiasa bila kuathiri mshikamano na umoja wa kitaifa.

ERUSAH MWAATHIME – PEACE