Tume ya Uiano NCIC inatarajiwa kutoa maelekezo kuhusu uchunguzi unaoendelea dhidi ya Mbunge wa Mukurweini John Kaguchia baada ya mbunge huyo kupinga uchunguzi huo. Kaguchia, ambaye alifika mbele ya tume hiyo baada ya kuitwa, alisema kwamba suala hilo tayari liko mahakamani na kwa hivyo anapaswa kuruhusiwa kuendelea bila kuingiliwa. Tume hiyo sasa inatarajiwa kuamua hatua inayofuata ya uchunguzi huo.

JOHN KAGUCHIA – PROCESS