Mwenyekiti wa Baraza la Magavana Ahmed Abdullahi amempongeza Waziri wa fedha John Mbadi kwa kutoa fedha za kaunti kwa wakati unaofaa, akibaini kuboreshwa kutoka kwa ucheleweshaji katika miaka iliyopita. Akihutubia kikao cha 30 cha kawaida cha IBEC, Abdullahi alihimiza Hazina ya Kitaifa kurekebisha vikwazo katika sheria za ununuzi wa umma ili kaunti ziweze kutumia kikamilifu pesa zote zilizotengwa kwao.
AHMED ABDULLAHI – SPEND