Wazee wa Agikuyu huko Githunguri wamempongeza mwanakandarasi kwa kuhama eneo la ekari 58 la ardhi lililotengwa kwa ajili ya Mradi wa Nyumba za Bei Nafuu wa Githunguri, kufuatia amri ya mahakama. Wazee hao wanasema ardhi hiyo ina umuhimu mkubwa wa kitamaduni na inasalia kuwa eneo takatifu ambapo jamii hiyo hufanya mila za kitamaduni. Wanasisitiza kwamba kuhifadhi ardhi ni muhimu katika kulinda urithi na mila za kitamaduni za Agikuyu.
VOX POP-VACATE