Rais William Ruto ameendelea kukosoa upinzani, akiutuhumu kwa kukosa ajenda ya wazi ya maendeleo huku ukizidisha mashambulizi dhidi ya utawala wake. Akizungumza jana katika Taita Taveta, Ruto aliwataka viongozi wa upinzani kuwaambia Wakenya kile watakachofanikisha ikiwa watachaguliwa mwaka wa 2027. Alisema utawala wake una rekodi nzuri ya maendeleo na utaendelea kuonyesha mafanikio yake kwa umma.
WILLIAM RUTO-RECORD