Wafanyabiashara wadogo huko Gikomba na Kamukunji jijini Nairobi, wametishia kufunga biashara zao na kuingia mitaani siku ya Ijumaa kutokana na viwango vya ushuru wa bidhaa vilivyorekebishwa. Wafanyabiashara hao wanasema viwango hivyo, ambavyo vimeongezeka kutoka shilingi milioni 2.5 hadi milioni 3.2, vinaathiri biashara zao na vinapaswa kupitiwa upya. Pia wameishutumu serikali kwa kufanya maamuzi muhimu bila kushauriana na wadau.

VOX POP-TAKE