Huku Kenya ikikaribia Uchaguzi Mkuu wa 2027, baadhi ya viongozi wa upinzani wameahidi kuimarisha umoja wao na kuunga mkono mgombea mmoja wa urais kutoka serikali mbadala ya umoja ili kumpinga Rais William Ruto. Wakizungumza mjini Kitale jana, viongozi hao walisema upinzani ulioungana utavutia uungwaji mkono zaidi kutoka kwa Wakenya na kuboresha nafasi zao za kumshinda Ruto kwenye kura.

VOX POP-UNITE