Ujumbe kutoka Isiolo umewahimiza viongozi wa upinzani kuweka kando maslahi yao binafsi na kuungana nyuma ya mgombea mmoja ili kumpinga Rais William Ruto katika uchaguzi mkuu ujao. Wakizungumza wakati wa mazungumzo na kiongozi wa DCP Rigathi Gachagua katika makaazi yake Wamunyoro, ujumbe huo ulikiri kwamba kuandaa changamoto iliyofanikiwa dhidi ya Rais Ruto itakuwa kazi ngumu inayohitaji mshikamano mkubwa miongoni mwa watu wa upinzani.


VOX POP – ISIOLO