Gianni Infantino amesisitiza nia yake ya kukuza soka katika kila kona ya dunia, licha ya rais huyo wa FIFA kukabiliwa na pigo zaidi katika azma yake ya kung'ang'ania madaraka. Hii inakuja kufuatia azma yake ya kuuza hisa kwa wawekezaji binafsi ambayo haikufanikiwa. Vyama sita vya Soka vya Nordic, Denmark, Iceland, Visiwa vya Faroe, Finland, Norway na Uswidi vilitangaza "kupoteza imani" na Infantino katika taarifa ya pamoja Jumapili, na kuongeza shinikizo kwake ajiuzulu au abadilishwe.

Jua linashuhudiwa Machakos, Kibwezi na Kitui.

Ili kupata habari zaidi tembelea tovuti ya radiojambo.