Katibu wa usalama Raymond Omollo amempongeza Rais William Ruto kwa kutekeleza miradi ya maendeleo kote nchini bila ubaguzi. Omollo alisema mbinu hiyo ni kukuza usawa na kuimarisha maendeleo na umoja wa kitaifa. Alionyesha imani kwamba Wakenya watamchagua tena Ruto mwaka wa 2027, akitaja kile alichokielezea kama rekodi ya maendeleo ya Rais katika kipindi cha miaka minne iliyopita.

RAYMOND OMOLLO-DEVELOP