Zaidi ya nyumba 15,000 katika Kaunti ya Narok zinatarajiwa kunufaika na mgao wa shilingi bilioni 2.7 ili kuunganisha kaunti hiyo na gridi ya taifa ya umeme. Akizungumza mwishoni mwa wiki, Waziri wa Nishati OpiyoWandayi alisema zaidi ya shilingi milioni 300 zimetengwa kwa ajili ya muunganisho wa umeme katika eneo bunge la Kilgoris. Wandayi alithibitisha tena ahadi ya serikali ya kupanua ufikiaji wa umeme kote nchini.
OPIYO WANADAYI –POWER