Kiongozi wa DCP Rigathi Gachagua amemwonya Rais William Ruto dhidi ya kile alichokiita juhudi za kushawishi uungwaji mkono wa Rais wa zamani Uhuru Kenyatta kabla ya uchaguzi wa mwaka ujao. Akizungumza jana, Gachagua alimhimiza Ruto kumwacha Uhuru afurahie kustaafu kwake bila kuingiliwa. Pia alimwomba Uhuru asifanye shughuli zozote za kisiasa zinazohusiana na Ruto au utawala wake.
RIGATHI GACHAGUA-UHURU