Mwakilishi wa Wanawake wa Kirinyaga NjeriMaina amekosoa vyombo vya usalama kuhusu kile alichokiita utekelezaji wa sheria kwa kuchagua dhidi ya viongozi wanaoshutumiwa kwa makosa. Maina alihoji madai ya kushindwa kuchukua hatua dhidi ya viongozi wanaohusishwa na vurugu wakati wa mikutano ya Linda Mwananchi huko Homa Bay. Alisisitiza kwamba hakuna mtu aliye juu ya sheria na akazitaka mamlaka kuchunguza na kumshtaki yeyote anayeshukiwa kuivunja, bila kujali hadhi yake ya kisiasa au chama chake.

NJERI MAINA - TAKE