Maandalizi ya sherehe za Siku ya Mashujaa mwaka huu yanaendelea vizuri, huku kaunti za Uasin Gishu, Nandi na Elgeyo-Marakwet zikishirikiana kuhakikisha tukio hilo linafanikiwa. Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen alisema kaunti hizo tatu zinashirikiana kwa karibu zinapoandaa sherehe hizo kwa pamoja. Akikagua kazi zinazoendelea za Uwanja wa Kamariny, Murkomen alisema serikali pia inaharakisha miradi ya maendeleo kote North Rift.


KIPCHUMBA MURKOMEN –DEVELOP