Afisa yeyote wa umma anayekusudia kugombea katika Uchaguzi Mkuu wa Agosti mwaka ujao lazima ajiuzulu ifikapo Februari tarehe 10, mwaka, miezi sita kabla ya uchaguzi. IEBC pia imeagiza vyama vya kisiasa kuwasilisha maelezo ya wawakilishi wao walioidhinishwa ifikapo Novemba tarehe 6, mwaka huu.