Kiongozi wa walio wengi katika bunge la kitaifa Kimani Ichung’wah anasema hawatishwi na wito kutoka kwa wenzao wa upinzani vya kutaka Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ianzishe uchunguzi kuhusu vitendo vya uhuni vinavyoshuhudiwa nchini. Ichung’wah amewakemea viongozi wa upinzani, akisema kwamba baadhi yao ni wanafiki wanaojihusisha na uhuni huku wakiilaumu serikali.

KIMANI ICHUNG’WAH - WAHUNI